Kituo cha kijamii cha maendeleo ya vijana mkoani Arusha kinachotoa elimu ya sekondari ya bure, kozi za kompyuta, lugha ya Kiingereza na stadi za uongozi kwa vijana waliokatiza masomo kutokana na umaskini.
Kufundisha mitaala ya sekondari ya taifa (NECTA) kwa mfumo wa QT ili kuwawezesha vijana kufaulu mitihani ya Kidato cha Nne.
Kufundisha programu za ofisi, usanifu wa picha, utengenezaji wa tovuti na utafutaji kazi mtandaoni.
Warsha za ujasiriamali, afya ya uzazi, sanaa ya majadiliano na ushiriki wa kiraia unaowajengea ujasiri wa kuongoza jamii.
Milango yetu ipo wazi kwa ushirikiano, maoni na maswali.